Kunihusu mimi, N Kyalo.


Sina la kusema ambacho sijasema kwenye ukurasa mkuu wa tovuti hii. Labda itafika siku ambapo nitakuwa na cha kusema kwenye kurasa huo ambacho hakinihusu mimi mwenyewe. Na basi siku hiyo ndio nitakuwa na cha kusema kenye ukurasa huu. Kwa sasa, niko masomoni.